E-mail: [email protected] | Add: tips, tricks and guides  

Herufi na Akili – Akili and Me Mini Forum, Answers, Tips, Tricks and Glitches

Ask a Question or Help other Players by Answering the Questions on the List Below:
Herufi na Akili – Akili and Me icon

Rate this app:



More details

For Android: 4.4 and up Guide: Herufi na Akili – Akili and Me cheats tutorial
When updated: 2021-10-17 Star Rating: 0
Name: Herufi na Akili – Akili and Me hack for android Extension: Apk
Author: Ubongo File Name: com.herufi.ubongo.sw
Current Version: 1.0.0 User Rating: Everyone
Downloads: 50-55 Version: mod, apk, unlock
System: Android Type: Education

 


Share Herufi na Akili – Akili and Me Cheats Guides Hints And Tutorials - Best Tactics from Users below.

Herufi na Akili – Akili and Me Tricks and Codes:

Please wait 10 seconds



Herufi na Akili – Akili and Me Hack Cheats Codes Tips Tricks Advices for New Users and Q&A!

Add your questions or answers

Q: How to get the best score?


Q: What is your favourite trick in this game/app?


Q: What is your strategy?



Watch Herufi na Akili – Akili and Me videoreviews, gameplays, videoinstructions, tutorials, guides, tips and tricks recorded by users, pro players and testers.

Herufi na Akili – Akili and Me Gameplay, Trailers and Related Videos

Watch Herufi na Akili! Jifunze herufi na alfabeti na katuni za Kiswahili video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Alfabeti na Herufi kwa Kiswahili na Kiingereza (Part 1) | LEARN THE SWAHILI ALPHABET! | Akili and Me video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Jifunze Herufi na Akili video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Akili and Me - Kiswahili video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch A ni kwa Akili! - Jifunze Herufi - SWAHILI ALPHABET & LETTER SOUNDS! video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Tuhesabu na Akili! | Akili and Me Katuni za Elimu Burudani | LEARN SWAHILI! video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Akili anapenda Herufi Sh! | Soma Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Pangilia Herufi na Akili | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Jifunze Herufi Sh! | Soma Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

Watch Herufi Ch Anapanda Mlima! | Jifunze Alfabeti na Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto video.

Herufi na Akili – Akili and Me related image

 

About the application:

Sasa shule zimeanza rasmi. Je, wayajua maendeleo ya mwanao? Umemwandaa kufanya vizuri mwaka huu? App yetu ya “Herufi na Akili” itampatia mwanao msingi imara wa Elimu! Apk hii ni tafsiri ya Kiswahili ya #Akili's Alphabet: Mini game #1 ya Elimu Tanzania yenye mashabiki wengi, liyopakuliwa zaidi ya mara 10,000 kwenye Play Store! “Herufi na Akili” inamwandaa mtoto wako kwa ajili ya kwenda SHULE. Apk hii hutumia michezo na nyimbo kufundisha mwanao jinsi ya kutamka herufi na kumfunza maneno mapya! Mtoto wako atafurahia ELIMU na apk hii ya BURE inayoletwa kwako na waandaaji wa katuni murua ya elimu-burudani ya “Akili and Me.”! Mwanao atajifunza na Satisfied Hippo, Bush Baby na Tiny Lion, akiimba na kusikiliza nyimbo za herufi azipendazo kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Hebu mwone anavyocheza kwa raha, akifurahi na marafiki huku akisikiliza HERUFI zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu! Ubongo, ambao pia ni waandaaji wa katuni nyingine maarufu ya “Ubongo Children”, wameitengeneza apk hii kwa lengo hasa la kumwezesha mtoto wako: FAIDA - Atambue sauti za herufi. - Afananishe herufi. - Ajifunze kwa uwezo na kasi yake mwenyewe. - Acheze kwa uhuru. - Apende kujifunza. VILIVYOMO - Jifunze zaidi ya maneno 80 mapya. - Cheza kwenye mazingira salama kwa ajili ya mtoto. - Imebuniwa kwa ajili ya watoto wa miaka 3, 4, 5 na 6. - Haina maksi wala daraja, hivyo mtoto atajifunza bila hofu. - Ni BURE kabisa. Hakuna gharama zozote. - Inafanya kazi BILA MTANDAO. Ubunifu wa “Herufi na Akili” ni kwa ajili hasa ya watoto, hivyo mwanao ataielewa apk hii bila shida na kuanza kuitumia mara moja. Mwonyeshe jinsi ya kupanga na kuoanisha herufi mara moja au mbili tu, kisha tazama jinsi anavyocheza mwenyewe kwa uhuru kabisa na kwa raha zake! Wangoja nini? Ipakue sasa BURE! KIINGEREZA - AKILI'S ALPHABET Ahsante kwa kupakua Herufi na Akili. Tumekuandalia pia tafsiri ya apk hii inayoitwa "Akili's Alphabet" inayomfundisha mwanao sauti za herufi na maneno mapya kwa lugha ya Kiingereza. "Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha "Akili and Me." Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja. KUHUSU “AKILI AND ME” “Akili and Me” ni katuni murua ya elimu na burudani inayoandaliwa na Ubongo, watengenezaji wa “Ubongo Children” na programu nyingine nyingi za kujifunza zilizoundwa mahususi kwa ajili ya watoto wa Afrika. Karibu Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Kiswahili na Akili. Njoo ufurahi na Tiny Lion, Satisfied Hippo na Bush Baby kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1 (Tanzania), na Jumamosi pekee saa 3 asubuhi kupitia Citizen TV (Kenya). KUHUSU UBONGO Ubongo ni kampuni ya kijamii ya Tanzania inayoandaa vipindi na katuni mahususi za elimu na burudani kwa ajili ya watoto wa Afrika, ikitumia teknolojia za kidijitali kama redio, simu, televisheni na vitabu vya mtandaoni kuwafikia popote pale walipo. Mkakati wetu ni kuwafurahisha wana wa Afrika, tukiwafunza ili wapende kujifunza zaidi kwa uwezo na nafasi yao, wakitumia teknolojia walizo nazo. Njoo utazame vipindi maarufu vya “Ubongo Children” na “Akili and Me” vinavyofikia zaidi ya nyumba milioni 5.1 barani Afrika. ONGEA NASI Kama una maswali, maoni, ushauri ama unahitaji msaada wowote, tafadhali zungumza nasi kupitia [email protected]. Twafurahi sana unapotupa maoni yako.

Herufi na Akili – Akili and Me Hack - Gallery:

Herufi na Akili – Akili and Me screenshot Herufi na Akili – Akili and Me screenshot Herufi na Akili – Akili and Me screenshot
Herufi na Akili – Akili and Me hack free android guides videoreviews photos and help from pro players.

Download apk from Google Play

Reviews and Recent Comments:


Tags:

Herufi na Akili – Akili and Me cheats online
Hack Herufi na Akili – Akili and Me
Cheat Herufi na Akili – Akili and Me
Herufi na Akili – Akili and Me Hack download
Each visitor is able to add own tips, cheats and hacks, tricks and solutions for any mobie app. Write questions and wait for the answer from other players. No registration required!
Describe your the best way to win the game, to get an advantage quickly and earn resources in the application as fast as possible. Help other android users to get better gameplay.
Do you like this app/game? Do not forget to write review and rate this item. Leave feedback and tell us how you rate graphics, gameplay and music. Vote for apps!
Before you device to test any game or app, simply watch some reviews/tutorials/gameplays on youtube. We deliver all related videos ready to watch.
See the gallery, app description, statistics and changelog. Find promo codes and easter eggs. Meet more players and create a team!

 

Recently Added:
Lily World: Create a Story icon Lily World: Create a Story
Monster Draw: Creepy Colors icon Monster Draw: Creepy Colors
kp590 Watch Face icon kp590 Watch Face
Edit photos, Images with text icon Edit photos, Images with text
Monster Truck Stunts Racing 3D icon Monster Truck Stunts Racing 3D
Cigar Aficionado Events icon Cigar Aficionado Events
Asure Conferences icon Asure Conferences
Ai Liberator icon Ai Liberator
Crypto Mining Tycoon - Idle icon Crypto Mining Tycoon - Idle
Hero's Adventure icon Hero's Adventure

 

New answers:
AI Pro Trading Signal
Fashion Journey : Merge Story
EVADE
Love Choices - Merge&Makeover
GPS Faker Pro-FakeGPS Location
Fortune Gems-TaDa Games
Orphans
Hailey's Treasure Game Tips
Matchpub
Simple sentence builder

 

Random Cheats:
Word & Spell Learning for Kids / Toddlers Age 3-5 icon Word & Spell Learning for Kids / Toddlers Age 3-5 Hacks
Madalin Stunt Cars 3D : Free car Racing 2019 icon Madalin Stunt Cars 3D : Free car Racing 2019 Hacks
Crazy Car Crash icon Crazy Car Crash Hacks
Flame Dragon Knights FDK (Official) - Strategy icon Flame Dragon Knights FDK (Official) - Strategy Hacks
Honor of Thrones icon Honor of Thrones Hacks
FUT 19 Draft Simulator and Pack Opener icon FUT 19 Draft Simulator and Pack Opener Hacks
4 Skills 1 Champion Overwatch icon 4 Skills 1 Champion Overwatch Hacks
Zen Words icon Zen Words Hacks
Word Solution - Adventure Journey icon Word Solution - Adventure Journey Hacks
Deal or Continue icon Deal or Continue Hacks

 

Last Added Tricks:
AI Food Tracker - BitePal Cheats
One UI 7 Widgets Cheats
Radish Rush: Save the Girl Cheats
Tidy Master Cheats
Cozy - Happy with AI Girl/Boy Cheats
BitTycoon: BTC Cloud Mining Cheats
Colorwood Words Puzzle Game Cheats
Low Go Cheats
iCam365 Cheats
Satisroom: Perfectly Organize Cheats

READ GUIDES, CHEATS AND TUTORIALS

Share you own hack tricks, advices and fixes. Write review for each tested game or app. Great mobility, fast server and no viruses. Each user like you can easily improve this page and make it more friendly for other visitors. Leave small help for rest of app' users. Go ahead and simply share funny tricks, rate stuff or just describe the way to get the advantage. Thanks!


Welcome on the best website for android users. If you love mobile apps and games, this is the best place for you. Discover cheat codes, hacks, tricks and tips for applications.

The largest android library

We share only legal and safe hints and tricks. There is no surveys, no payments and no download. Forget about scam, annoying offers or lockers. All is free & clean!

No hack tools or cheat engines
hack-cheat.org | 2018 All Rights Reserved.